Zaburi 143:7
Zaburi 143:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, unijibu haraka, roho yangu inazimia. Usinifiche uso wako, ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni.
Shirikisha
Soma Zaburi 143Zaburi 143:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, unijibu haraka; maana nimekata tamaa kabisa! Usijifiche mbali nami, nisije nikawa kama wale washukao kwa wafu.
Shirikisha
Soma Zaburi 143