Zaburi 146:9
Zaburi 146:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Shirikisha
Soma Zaburi 146Zaburi 146:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 146