Zaburi 149:4
Zaburi 149:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa BWANA awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 149Zaburi 149:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mwenyezi-Mungu hupendezwa na watu wake; yeye huwapamba wanyonge kwa ushindi.
Shirikisha
Soma Zaburi 149