Zaburi 15:1-2
Zaburi 15:1-2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu? Ni yule aendaye pasipo mawaa, atendaye yaliyo haki, asemaye kweli toka moyoni mwake
Shirikisha
Soma Zaburi 15Zaburi 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni
Shirikisha
Soma Zaburi 15