Zaburi 22:27-28
Zaburi 22:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Ulimwengu wote utakumbuka na kumrudia Mwenyezi-Mungu; jamaa zote za mataifa zitamwabudu. Maana Mwenyezi-Mungu ni mfalme; yeye anayatawala mataifa.
Shirikisha
Soma Zaburi 22Zaburi 22:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia. Maana ufalme ni wa BWANA, Naye ndiye awatawalaye mataifa.
Shirikisha
Soma Zaburi 22