Zaburi 23:2-3
Zaburi 23:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu, na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 23