Zaburi 23:3 - Compare All Versions
Zaburi 23:3 BHN (Biblia Habari Njema)
na kuirudishia nafsi yangu nguvu mpya. Huniongoza katika njia sawa kwa hisani yake.
Shirikisha
Zaburi 23 BHNZaburi 23:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Shirikisha
Zaburi 23 SRUVZaburi 23:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Shirikisha
Zaburi 23 SUVZaburi 23:3 NEN (Neno)
hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Shirikisha
Zaburi 23 NEN