Zaburi 23:4
Zaburi 23:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo, sitaogopa hatari yoyote, maana wewe ee Mwenyezi-Mungu u pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanilinda.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Shirikisha
Soma Zaburi 23