Zaburi 25:7
Zaburi 25:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA kwa ajili ya wema wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 25Zaburi 25:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 25