Zaburi 27:1
Zaburi 27:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
Shirikisha
Soma Zaburi 27