Zaburi 30:1
Zaburi 30:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange.
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 30