Zaburi 31:1
Zaburi 31:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Shirikisha
Soma Zaburi 31Zaburi 31:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.
Shirikisha
Soma Zaburi 31