Zaburi 31:23
Zaburi 31:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mpendeni BWANA ninyi watakatifu wake wote! BWANA huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 31Zaburi 31:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, enyi watakatifu wake wote. Mwenyezi-Mungu huwalinda watu waaminifu; lakini huwaadhibu kabisa wenye kiburi wanavyostahili.
Shirikisha
Soma Zaburi 31