Zaburi 33:18-19
Zaburi 33:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia wale wamchao, watu ambao wanatumainia fadhili zake. Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 33Zaburi 33:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake. Ili kuwaponya nafsi zao kutoka kwa mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 33Zaburi 33:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 33