Zaburi 34:10 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 34:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Hata wanasimba hutindikiwa na kuona njaa; lakini wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu hawakosi chochote chema.
Shirikisha
Zaburi 34 BHNZaburi 34:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana-simba hutindikiwa, huona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawatahitaji kitu cho chote kilicho chema.
Shirikisha
Zaburi 34 SUVZaburi 34:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.
Shirikisha
Zaburi 34 SRUVZaburi 34:10 NEN (Neno)
Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wanaomtafuta BWANA hawatakosa kitu chochote kilicho chema.
Shirikisha
Zaburi 34 NEN