Zaburi 35:10
Zaburi 35:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee BWANA? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!”
Shirikisha
Soma Zaburi 35Zaburi 35:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitamwambia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote: “Wewe ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe! Wewe wawaokoa wanyonge makuchani mwa wenye nguvu, maskini na fukara mikononi mwa wanyanganyi.”
Shirikisha
Soma Zaburi 35