Zaburi 37:23-24
Zaburi 37:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu huziongoza nyayo za mtu, humlinda yule ampendezaye. Ajapoanguka, haanguki akabaki chini, kwa sababu Mwenyezi-Mungu humtegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatua za mtu mwema huimarishwa na BWANA, Naye huipenda njia yake. Ajapojikwaa hataanguka chini, Maana BWANA humshika mkono na kumtegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 37