Zaburi 37:5
Zaburi 37:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Shirikisha
Soma Zaburi 37