Zaburi 43:1
Zaburi 43:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe na mtu wa hila asiye haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 43Zaburi 43:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee Mungu unihukumu, nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, niokoe na watu wadanganyifu na waovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 43