Zaburi 43:3
Zaburi 43:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata maskani yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 43Zaburi 43:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tuma hima nuru yako na kweli yako na viniongoze; vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, mpaka mahali unapoishi.
Shirikisha
Soma Zaburi 43