Zaburi 44:6-7
Zaburi 44:6-7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi; bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 44Zaburi 44:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi siutegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa. Wewe ndiwe uliyetuokoa na maadui zetu; uliwavuruga wale waliotuchukia.
Shirikisha
Soma Zaburi 44