Zaburi 45:17
Zaburi 45:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu Katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakushukuru Milele na milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 45Zaburi 45:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 45