Zaburi 46:10
Zaburi 46:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Asema: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!”
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tulieni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Acheni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 46