Zaburi 48:10
Zaburi 48:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Jina lako lasifika kila mahali, sifa zako zaenea popote duniani. Kwa mkono wako umetenda kwa haki
Shirikisha
Soma Zaburi 48Zaburi 48:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hadi miisho ya dunia. Mkono wako wa kulia umejaa haki
Shirikisha
Soma Zaburi 48