Zaburi 5:11
Zaburi 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga kelele za furaha daima. Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wafurahi wote wanaokimbilia usalama kwako, waimbe kwa shangwe daima. Uwalinde wanaolipenda jina lako, wapate kushangilia kwa sababu yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga daima kelele za furaha. Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.
Shirikisha
Soma Zaburi 5