Zaburi 5:8
Zaburi 5:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uinyoshe njia yako mbele ya uso wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5