Zaburi 50:10-11
Zaburi 50:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu. Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 50Zaburi 50:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu. Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50