Zaburi 50:14-15
Zaburi 50:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye juu nadhiri zako. Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.
Shirikisha
Soma Zaburi 50Zaburi 50:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Shukrani iwe ndio tambiko yako kwa Mungu mtimizie Mungu Aliye Juu ahadi zako. Uniite wakati wa taabu, nami nitakuokoa, nawe utaniheshimu.”
Shirikisha
Soma Zaburi 50