Zaburi 55:15 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 55:15 BHN (Biblia Habari Njema)
Acha kifo kiwafumanie maadui zangu; washuke chini Kuzimu wangali hai; maana uovu umewajaa moyoni mwao.
Shirikisha
Zaburi 55 BHNZaburi 55:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mauti na iwapate kwa ghafula, Na washuke kuzimu wangali hai, Maana uovu u makaoni mwao na katikati yao.
Shirikisha
Zaburi 55 SUVZaburi 55:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mauti na iwapate kwa ghafla, Na washuke kuzimu wangali hai, Maana uovu uko nyumbani mwao moyoni mwao.
Shirikisha
Zaburi 55 SRUVZaburi 55:15 NEN (Neno)
Kifo na kiwajie adui zangu ghafula, na washuke Kuzimu wangali hai, kwa maana uovu uko ndani yao.
Shirikisha
Zaburi 55 NEN