Zaburi 55:22
Zaburi 55:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtwike BWANA mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 55Zaburi 55:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwachie Mwenyezi-Mungu mzigo wako, naye atakutegemeza; kamwe hamwachi mwadilifu ashindwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 55Zaburi 55:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umtwike BWANA mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 55