Zaburi 59:16
Zaburi 59:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaimba juu ya nguvu zako, Nitaimba kwa furaha juu ya fadhili zako asubuhi. Maana umekuwa ngome yangu, na kimbilio wakati wa mateso yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 59Zaburi 59:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.
Shirikisha
Soma Zaburi 59