Zaburi 59:17
Zaburi 59:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unipendaye.
Shirikisha
Soma Zaburi 59Zaburi 59:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili!
Shirikisha
Soma Zaburi 59