Zaburi 69:13
Zaburi 69:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, BWANA, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 69Zaburi 69:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nakuomba wewe, ee Mwenyezi-Mungu; nikubalie ombi langu wakati unaopenda, ee Mungu. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu. Wewe ni mkombozi wa kuaminika.
Shirikisha
Soma Zaburi 69