Zaburi 70:5
Zaburi 70:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee BWANA, usikawie.
Shirikisha
Soma Zaburi 70Zaburi 70:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!
Shirikisha
Soma Zaburi 70