Zaburi 73:23-24
Zaburi 73:23-24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, umenishika mkono wangu wa kuume. Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo niko daima nawe, ee Mungu! Wanishika mkono na kunitegemeza. Wewe waniongoza kwa mashauri yako; mwishowe utanipokea kwenye utukufu.
Shirikisha
Soma Zaburi 73