Zaburi 73:26
Zaburi 73:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwamba wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 73