Zaburi 73:28
Zaburi 73:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya BWANA Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, kwangu ni vema kuwa karibu na Mungu, wewe Bwana Mwenyezi-Mungu ndiwe usalama wangu. Nitatangaza mambo yote uliyotenda!
Shirikisha
Soma Zaburi 73