Zaburi 75:1
Zaburi 75:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunakushukuru, ee Mungu, tunakushukuru! Tunatangaza ukuu wa jina lako na kusimulia juu ya matendo yako makuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 75Zaburi 75:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu, tunakushukuru. Tunakushukuru kwa kuwa Jina lako liko karibu; Watu huyasimulia matendo yako ya ajabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 75