Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 76:10 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 76:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako.

Shirikisha
Zaburi 76 BHN

Zaburi 76:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.

Shirikisha
Zaburi 76 SUV

Zaburi 76:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.

Shirikisha
Zaburi 76 SRUV

Zaburi 76:10 NEN (Neno)

Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.

Shirikisha
Zaburi 76 NEN