Zaburi 77:1-2
Zaburi 77:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia. Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Shirikisha
Soma Zaburi 77