Zaburi 77:9 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 77:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?”
Shirikisha
Zaburi 77 BHNZaburi 77:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake?
Shirikisha
Zaburi 77 SUVZaburi 77:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake?
Shirikisha
Zaburi 77 SRUVZaburi 77:9 NEN (Neno)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia fadhili zake?”
Shirikisha
Zaburi 77 NEN