Zaburi 84:7 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 84:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.
Shirikisha
Zaburi 84 BHNZaburi 84:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
Shirikisha
Zaburi 84 SUVZaburi 84:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
Shirikisha
Zaburi 84 SRUVZaburi 84:7 NEN (Neno)
Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni.
Shirikisha
Zaburi 84 NEN