Zaburi 85:9
Zaburi 85:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika yu tayari kuwaokoa wanaomheshimu, na utukufu wake utadumu nchini mwetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 85Zaburi 85:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 85