Zaburi 89:1
Zaburi 89:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fadhili za BWANA nitaziimba milele; Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 89Zaburi 89:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitaimba juu ya upendo mkuu wa BWANA milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 89