Zaburi 89:15
Zaburi 89:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 89Zaburi 89:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri watu wanaojua kukushangilia, wanaoishi katika mwanga wa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 89