Zaburi 90:11-12
Zaburi 90:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako? Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayejali matokeo ya ghadhabu yako? Utufundishe ufupi wa maisha yetu ili tuweze kuwa na hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 90