Zaburi 91:1
Zaburi 91:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Shirikisha
Soma Zaburi 91