Zaburi 91:5-6
Zaburi 91:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana; huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hutaogopa hatari za usiku, Wala mshale urukao mchana, Wala mapigo yajayo usiku, Wala maafa yatokeayo adhuhuri
Shirikisha
Soma Zaburi 91