Zaburi 92:14-15
Zaburi 92:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi; wapate kutangaza kwamba Mwenyezi-Mungu ni mnyofu, Mwamba wangu, kwake hamna upotovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 92Zaburi 92:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi. Watangaze ya kuwa BWANA ni mwenye adili, Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 92