Zaburi 93:1
Zaburi 93:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anatawala; amejivika fahari kuu! Mwenyezi-Mungu amevaa fahari na nguvu! Ameuimarisha ulimwengu, nao hautatikisika kamwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 93Zaburi 93:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ametamalaki, amejivika adhama, BWANA amejivika, na kujikaza nguvu. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike
Shirikisha
Soma Zaburi 93